1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trustable Ranking IconDe încredere
1K+Descărcări
10MBMărime
Android Version Icon4.1.x+
Versiune Android
2.0(26-02-2021)Ultima versiune
-
(0 Recenzii)
Age ratingPEGI-3
Cum se instalează
1
Descarcă și deschide fișierul de instalare
2
Unblock AptoideAptoide is a safe app! Just tap on More details and then on Install anyway.
3
Finalizează instalarea și deschide Aptoide
app-card-icon
DetaliiRecenziiVersiuniInformații
1/6

Descriere Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - Versiune 2.0

(26-02-2021)
Alte versiuni
Ce este nouSehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

Nu există încă recenzii sau evaluări! Pentru a fi tu primul care scrie una, te rugăm să

-
0 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
Aplicație Bună GarantatăAceastă aplicație a trecut testul de securitate pentru viruși, malware și alte atacuri rău intenționate și nu conține amenințări.

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - Informații APK

Versiune APK: 2.0Pachet: com.gazeti.digitalwebbased
Compatibilitate Android: 4.1.x+ (Jelly Bean)
Dezvoltator:Tanzania Tech MediaPolitica de confidențialitate:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.htmlPermisiuni:28
Nume: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)Mărime: 10 MBDescărcări: 68Versiune : 2.0Data lansării: 2021-02-26 13:33:53Ecran min.: SMALLCPU acceptat:
ID pachet: com.gazeti.digitalwebbasedSemnătură SHA1: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66Dezvoltator (CN): AndroidOrganizație (O): Google Inc.Locație (L): Mountain ViewȚară (C): USStat/oraș (ST): California

Cea mai recentă versiune a Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
68 descărcări10 MB Mărime

Alte versiuni

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
68 descărcări8.5 MB Mărime
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
68 descărcări8.5 MB Mărime
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
68 descărcări7.5 MB Mărime

Aplicații din aceeași categorie

S-ar putea să îți placă și...